Recent comments

Breaking News

Unajua Kwamba Mwanaume Ukilala na Mwanamke Usipompa Hela Baada ya Tendo Anakudharau Sana.......

Utamaduni wa wenzetu walioendelea huwa mtu akitoka out na mpenziwe mwanamke ndiye anaclear bill lakini kwa nchi zetu za kibongo ukimtoa mwanamke out atafanya kukukomoa aagize vitu vya gharama balaa isitoshe zaidi watoto wa chuo hakawii kubeba marafiki zake wa kutosha.

Sasa ukija swala la kudo iwe mchana au usiku mkimaliza anasikilizia unamtoa na sh. ngapi usipomtoa ela anakudharau sana na huwa wananungunika sana.

Hivi wadau ukitoka kudo lazima umtoe mwanamke hela wakati starehe mmesikia wote na zaidi wao ndiyo wanasikia raha zaidi? Hapo umemtoa out mmekula, kunywa, hela ya lodge n.k, gharama ushatumia kama laki na nusu bado tena umtoe hela?

No comments